Skip to main content
kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani

kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani

Submitted by abdulhalim on 29 May 2026

Katika kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani, Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) iligawa Taulo za Kike 500 kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Siti Abasi Ali na  500 nyengine alikabidhiwa Afisa Elimu Wilaya ya Magharibi B, kwa wanafunzi wa kike katika shule za wilaya ya Magharibi.
Jumla ya Taulo zote ni 1000.

Hii ni sehemu ya dhamira yetu ya kuhakikisha mtoto wa kike anapata mazingira salama, heshima na utulivu wa kujifunza ili aweze kufikia ndoto zake bila kukatishwa tamaa na changamoto za hedhi.

 

Add new comment

Restricted HTML

  • You can align images (data-align="center"), but also videos, blockquotes, and so on.
  • You can caption images (data-caption="Text"), but also videos, blockquotes, and so on.